Furaha Hanukkah!!
Chag Hanukkah Sameach!!


Ukurasa 1    Ukurasa 2    Ukurasa 3    Ukurasa 4
Ukurasa KuuKuleta Hanukka nne pamoja nasi

Jumapili tarehe 2 Desemba, kwa
Jumapili tarehe 10 Desemba, 2018Kujiunga na sisi na kuweka kwenye mstari wa Menorah wakati wa siku nane za HANUKKAH!Kujiunga na sisi na kuweka kwenye mstari wa Menorah wakati wa siku nane za HANUKKAH!Bonyeza hapa kwa Menorah iliyo kwenye Mtandao

Hapa unaweza kuwasha mishumaa ya Menorah kwenye mtandao, na kusherehekea Hanukkah nasiHuduma ya Amightywind
Huduma ya Amightywind
Hanukkah Njema
kutoka Mtume/Nabii Elisheva Eliyahu (Elisabeth Sherrie Elijah) na bwana yake Mtume/Nabii Ezra kutoka Israeli!!!
Ndoa ya Agano,
Oktoba 2, 2016,
Iliyokadirikiwa kutoka Mbinguni.


Tuna MENORAH KWA YOU!
TUNA MENORAH! Tumepata barua pepe kutoka kwa wale walio na hamu ya kusherehekea Hanukkah vile inavyostahili, lakini hawawezi kupata Menorah. Kama upo katika hali hii, usife moyo, kwa kuwa tuna Menorah ambayo waweza kutumia hapa kwenye mtandao na kila siku, weka mshumaa unaostahili mahali pake tukisherehekea NURU ya DUNIA, YAHUSHUA MASIHI. Unachohitaji kufanya tu ni kubonyeza Menorah iliyo pale juu au menorah iliyoko kwenye mtandao na ufurahie Menorah yako mwenyewe! Shalom!

Barua pepe kutoka Stephen (Hong Kong): Dada Mpendwa Elisheva (Elisabeth), Habari gani? Nina wazo, je, si twaweza kusherehekea Hanukkah sote pamoja kwenye mtandao? Ninaomba Mungu Anipe Menorah na mishumaa. Upendo katika YAHUSHUA, Stephen.”
Hanukkah—pia inaandikwa kama Chanukah. Hanukkah—inamaanisha “kuwekwa wakfu” na inajulikana kama “Sikukuu ya Nuru”, ni sikukuu ya Kiyahudi inayoanza Tarehe 25 ya Kiebrania ya mwezi wa Kislev na huendelea kwa muda wa siku nane, hadi siku ya 2 ya mwezi wa Tevet. Mwaka huu wa 2014 unalingana na…

Jumapili tarehe 2 Desemba, kwa
Jumapili tarehe 10 Desemba, 2018
Hanukkah ni makumbusho ya ushindi wa Maccabees (ulioongozwa na Yuda) dhidi ya Wahelenisti wa Syria katika vita vilivyotokea muda wa 165 BCE. (nakala: Wayahudi hutumia BCE---Before Common Era na CE---Common Era badala ya BC na AD).

Vita hivi vyenyewe viliaminiwa kuwa muujiza, lakini hadithi ya Kiyahudi hutoa maelezo zaidi ya matambiko ya Hanukkah, kama ilivyoelezwa hapa chini. Baada ya Hekalu Mlimani pale Yerusalemu kurejeshwa tena, ilibidi Hekalu iwekwe wakfu tena. Katika hadithi, ni kopo moja tu la mafuta ya sakramenti lililopatikana, iliyotosha siku moja tu. Kwa muujiza, mafuta hayo yalitumika kutoa mwanga siku nane, ndiposa siku nane za Hanukkah.

Tambiko muhimu zaidi ya Hanukkah ni kuwasha mshumaa. Wayahudi huwasha mshumaa kwa kifaa spesheli ya kushikilia mshumaa kinachoitwa “Menorah” au “hanukkiah”. Kila usiku, mshumaa mmoja huongezwa. Mshumaa ulioko katikati, unaitwa “shamash”, unatumika kuwasha mishumaa ile nyingine na unawashwa kila usiku. Basi, usiku wa kwanza wa Hanukkah, mishumaa miwili inawashwa (shamash na mshumaa wa usiku wa kwanza) na katika usiku wa mwisho, kuna mishumaa tisa iliyowashwa.

Ni mila kula vyakula vilivyokarangwa kwenye mafuta wakati wa Hanukkah. Vyakula vinavyoliwa sanasana ni kama potato latkes (viazi) na “sufganiot” (donut ya jeli).

nes gadol haya po

dreidel Mila nyingine ni kucheza mchezo wa “dreidel”. Dreidel (au “sivivon”) ni kidude kilicho na pande nne. Katika pande zote kuna herufi tofauti ya Kiebrania: nun nun (nun), gimel gimel(gimel), heh heh(heh) na peh peh(peh), inayolingana na maneno katika sentensi “nes gadol haya po” (“Muujiza mkuu ulifanyika hapa”). Bila shaka, muujiza huu ulifanyika Israeli, kwa hivyo nje ya Israeli, herufi ya peh peh(peh) inabadilishwa na shin shin(shin) inayosema “nes gadol haya sham” (Muujiza mkuu ulifanyika kule”). Dreidel inatumika kwa mchezo wa kamari ambapo kila herufi inawakilisha kiasi tofauti ya pesa (au chochote…) iliyoshindwa au kupotezwa.

Kitendo kingine cha kawaida cha Hanukkah ni kupeana zawadi au “gelt” (pesa) kwa watoto. Katika Kiebrania, “gelt” inaitwa “d’mei Hanukkah”.

Huko Israeli, Hanukkah ni wakati wa sherehe. Shule huwa zimefungwa kwa muda wa wiki moja na huwa kuna sherehe nyingi na matukio spesheli kote nchini. Tunaimba nyimbo za Hanukkah (kama wimbo unaocheza kwenye usuli), kula vyakula vingi na kufurahia sana!


Ukurasa 1    Ukurasa 2    Ukurasa 3    Ukurasa 4
Ukurasa Kuu
ALPHA & OMEGA ALMIGHTYWIND RUACH HA KODESH WILDFIRE LAST CHANCE MINISTRYwww.amightywind.com  |   www.almightywind.com
Please go to the other if one is off line.

We are Sabbath-Keepers, Not Seventh-Day Adventists
Click Here For More Info


Mailing and Email Addresses


By Faith Enoch was translated that he should not see death: and was not found, because YAHUVEH had translated him: for before his translation he had this testimony, that he pleased YAHUVEH. Hebrews 11:5

By Faith Enoch was translated that he should not see death: and was not found, because YAHUVEH had translated him: for before his translation he had this testimony, that he pleased YAHUVEH. Hebrews 11:5